Bayern imeweka rekodi kubwa zaidi kupata kutokea katika michuano ya UEFA Hasa katika hatua ya nusu fainali baada ya kushinda mabao manne kwenye mechi ya kwanza 4-0 tangu iliposhinda dhidi Olympique Lyonnais. na wameweka rekodi nyingi baada ya kuikandamiza Barca kwa mabao matatu ndani nou camp na kusukuma nje kwa jumla ya mabao saba . Franck Ribéry alipitisha pasi ilio mpita Alex Song na kumkuta Thomas
Müller na kuwashinda akili Marc Bartra ana Adriano na kufunga kwa kichwa kilichomshinda Víctor
Valdés.
BAYERN MUNCHERN VS BORUSIA DORTMUND
WEMBLEY STADIUM
No comments:
Post a Comment