2 April 2009
TANZANIA BREWERIES YAJA NA MASHINDANO YA MASHINDANO YA MALTA GUINESS STREET DANCE AFRICA
Kampuni ya tanzania breweries imezindua mashindano ya Malta guiness street dance africa akizindua shindano hilo manager wa tawi ambalo makao makuu yake yapo mtaa wa uhuru amesema kuwa shindano hilo litashikisha mikoa yote ya tanzania na baadae kuchujwa ili kumpata mshiriki mmoja ambaye atawakilisha taifa katika shindano litakalo fanyika nairobi nchini kenya kwa mara ya kwanza katika historia ambapo nchi tano zaiatshiki shindano hilo mashindano hayo ni ya kumtafuta bingwa wa dunia.
Sarah munema manager wa tawi malta guinness ilala akizindua mashindano ya malta guinness katika sherehe zilizofanyika katika ukumbi wa greece catherdal uliopo karibu na maeneo ya msala mwekundu jijini dar es salaam.
moja kati burudani ambazo zilikuwa zikitolewa ukumbini hapo katika uzinduzi huo ambao vilievile ulihudhuriwa na baadhi ya viongozi wa basata.
vijana wakisakata rumba kwa staili za aina ya ke katika uzinduzi huo ulifanyika katiaka wa greece catherdal jijini dsm
shindano hilo litafanyika mwezi august bi sarah alisema shindano hilo lina fanyika kwa mara ya pili barani africa na mara ya kwanza kwa ukanda wa africa mashariki bi sarah amesema kuwa ni wakati muafaka kwa vijana kujitokeza kwa wingi kushiriki michuano hiyo ambapo washindi watapa fursa ya kuwakirisha tanzania katika
mashindano ya kimataifa kwa mujibu wa ratiba inaonyesha kuwa mikoa itayotembelewa kupta washiriki ni DAR ES SALAAM ,MOROGORO,MWANZA,ZANZIBAR,ARUSHA,TANGA,
Ni wakati wa vijana kuonyesha umahiri wa kucheza dance hasa (chereographers)
vile vile mashindano hayo ya kiamataifa ya kutanisha nchi tano zikiwemo tanzania Cameroun Ghana nNigeria, kenya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
Nawaomba vijana wengi wajitose ktk mashindano haya, c kwa ajili ya pesa na mazoezi kwao 2,ila kwa ajili ya kulitetea na kulitangaza taifa lao kwa ujumla.
ReplyDeleteHongera Meneja Sarah Munema, tumeona mchango wako mkwa vajana ,keep it up, tupo pamoja mama!
jyytjtyjtrtsysyry
ReplyDelete