Fainali ya Kombe FA Cup sasa itachezwa kama za miaka ya nyuma mwishoni mwa msmimu baada ya ligi zote kumalizka kwani mara ya mwisho kufanyika hivyo ilikuwa mwaka
2010
lakini kuanzia mwakani itarejea kama kawaida .
kwa siku za karibuni Fainali ilikuwa ikichezwa kabla ya mechi tatu kumalizika .
lakini kuanzia mwaka 2014 fainali itakuwa ikichezwa baada ya premier kumalizika .
Katibu mkuu wa chama cha soka FA Alex Horne: Anasema "Tumepata maombi kutoka kwa mashabiki na vyombo vya habari wakiomba fainali ya kombe la FA ichezwe siku ya peke yake kitu ambacho kitafanyika mwaka 2014."
Mwaka 2011,
Manchester City iliifunga Stoke katika siku ya fainali
siku hiyo hiyo Manchester United ilitwaa ubingwa wa ligi .
Msimu uliopita ,
Wigan ilishinda kikombe cha FA Cup Goli moja 1-0 Dhidi ya City, na siku tatu baadae ilishuka daraja .
wengi walifikiri kuwa sababu kubwa ilikuwa kwa ajiri ya fainali mbili za klabu bingwa ulaya lakini FA imesma kuwa hiyo siyo sababu ya kubadilisha kalenda hiyo.
Kwani kulikuwa kuna sababu kadhaa za matengenezo
No comments:
Post a Comment