RAIS KIKWETE AKIONGEA NA BBC SWAHILI
Timu ya soka ya Sunderland AFC imeongeza juhudi zake katika kuinua soka katika bara la afrika kwa kujikita zaidi na kusaini makubaliano ya kuiua soka kwa kuungana na Tanzania .
Katika makubalino hayo klabu hiyo itakuwa inatuma wataalamu wake nchini kuja kutafuta na kutengeneza shule za soka nchini Tanzania, ambapo itakuwa inawekeza kwa msaada wa kampuni kubwa ya kuzalisha umeme ya Symbion Power.
Klabu itakuwa ikitoa mafunzo ya kiufundi kwa njia ya vitendo kwa ajiri ya kusaidia maendeleo ya soka Tanzania .Mradi huyo utasaidia maelfu ya Vijana kujifunza soka na mambo mengineyo ya kimaisha yahusuyo soka na jamii kwa ujumla .
Katika hatua ya kwanza klabu hiyo itajenga shuke ya soka katika jiji la Dar es Salaam, ikifuatiwa na hatua ya pili , ya kutengeneza mahitaji ya shule ,kwa kuunga mkono Tanzania katika maendeleo ya Vijana .
kwa kufungua kampeni hiyo , Sunderland AFC ilimkaribisha Mh Dr Rais wa Jmahuri ya Muungano Wa Tanzania , Jakaya Mrisho
Kikwete, na Paul Hinks,
CEO wa Symbion Power.
Viongozi hao walikutana na Viongozi ,na Mwenyekiti wa SAFC
Ellis Short na CEO Margaret Byrne, walifanya ziara katika uwanja wa Sunderland’s uwanja unachukua watazamaji Elfu Arobaini na Tisa , Maarufu kama uwanja wa mwangaza ,.
Awali wakati walipofanya ziara nchini Tanzania viongozi wa SAF walikutana na viongozi wa klabu ya soka ya simba ya jiji Dar E salaam .
Paul Hinks, ambaye ni CEO wa
Symbion Power amesema : "Nimekuwa nikifanya kazi na Tanzania Tangu mwaka 1982 na Leo Symbion Power ni moja kati ya kampuni kubwa ya uwekezaji marekani na ni kampuni Binafsi .
“Kama tulivyo fanya hapa UK na Nchi nyingine za ulaya, Tanzania ni nchi iliyobarikiwa katika vipaji vya soka . japokuwa kuna upungufu wa vifaa vya mazozei . Ushirikiano huu wa Symbion na Sunderland unadhumuni la kutoa kipaumbele katika soka na kuongeza ufanisi katika soka la vijana na kuwatengenezea nafasi katika soka la ulaya siku za usoni .
“Sunderland' inajitoa kwa Africa katika kuendeleza soka .Mashabiki wa klabu kubwa wanafuraha sana na mimi najivunia kuwa na mashabiki wa aina hiyo ."
: “Tunayofuraha kubwa kuwaalika waTanzania katika klabu ya Sunderland ,katika kuleta mahusiano makubwa na klabu yetu katika bara la afrika .
Klabu hiyo pia inashikirikiana Nlseon Mandela Foundation kataika kuleta maendeo la kisoka
No comments:
Post a Comment