Baraza la vyama vya soka Afrika mashariki na kati limepata pigo baada ya timu mwalikwa maarufu kama mware wa Nyasa ,Malawi kujitoa katika michuano hiyo ya Chalenji baada ya kukosa fedha za kuendesha timu hizo .
Jambo hili linakuja baada ya Nchi hiyo kusimamisha shughuri zote za kimaendeleo ya soka kwa timu za vijana na wakubwa kwa ukosefu wa pesa.
Michuano hiyo inayotarajiwa kuanza Nov 27 na kumalizika Dec 12 nchini Kenya .
Mapema wiki hii ,Katibu mkuu wa Cecafa Nicholas Musonye ametangaza kuwa Cote d’Ivoire haitashiriki michuano kutokana na matatizo ya kiuchumi
Kwa maana hiyo timu ya vijana ya malawi chini ya miaka 20 haitashiriki michuano hiyo itakayofanyika Lesotho mwishoni mwa mwaka huu .
Rais wa Chama soka cha malawi Walter Nyamilandu, ambaye alinukuliwa na chombo cha cha habari cha nchi hiyo ,Hwajapokea mwaliko kutoka Cecaafa na hata wakipokea hawatoshiriki kwani hawana pesa .
No comments:
Post a Comment