Baada ya Kamati Maadili kubaini kuwa Shaffih
Dauda, mwanafamilia wa TFF katika
taarifa iliyotumwa kutoka katika shirikisho hilo na kugungundua kuwa ni Mwenyekiti wa Bombom
FC, kwani fomu yake ya kuomba uongozi ilipitishwa na klabu ya Simba na pia
ameshakuwa kiongozi katika ngazi mbalimbali ndani ya Chama cha Mpira wa Miguu
Wilaya ya Kinondoni (KIFA), hivyo yeye ni ‘Mwanafamilia waTff kwa mujibu wa kifungu cha 2(v) cha Kanuni za
Utii za TFF toleo la 2013.
Na kumpa onyo kali na faini ya sh. milioni moja
anayotakiwa kuilipa ndani ya siku tatu Nimemyafuta shafii dauda kwa njia ya
simu
Akilipa faini ataweza kuendelea na
mchakato wa kugombea nafasi ya uongozi aliyoomba.
BOFYA HAPA USIKIZE
No comments:
Post a Comment