Timu ya soka ya Taifa uhispania imeaga Ramsi mashindano ya kombe la dunia yanayofanyika nchini Brazil mara baada ya kutandikwa mabao mawili kwa sifuri Dhidi ya Chile katika mchezo wa Kundi B kwenye uwanja wa`Maracan chile inasonga mbele katika michuano kwa kufikisha point sita huku uhispania ikitolewa na kuwa timu ya pili kutolewa katika makundi ikiwa kama bingwa mtetezi ambapo mwaka 2002 ufaransa ndio walifanya kwa mara ya kwanza baada ya kutwaa ubingwa mwaka 1998 na kuuachia mwaka 2002 .
Kosa lililofanywa na mlinda mlango UhiSpania Iker Casillas alikubari kirahisi Charles Aranguiz kumalzia kirahisi na kuipatia Chile's.
Diego Costa alipiga shuti ambalo lilizuiriwa aidha Sergio Busquets alipiga shuti lakini lilikwenda nje ya lango.
No comments:
Post a Comment