Timu ya soka ya Taifa ya Uholanzi imeaidhibu mabingwa wa Dunia na mabingwa watetezi wa michuano kwa hiyo kwa kuwabamiza mabao matano kwa sifuri .
Mkwaju wa penati wa Xabi Alonso's ulipatia uSpania Ngoli la kuongoza kwa baada ya Stefan
de Vrij kumfanyia faulo Diego Costa lakini Robin van Persie alisawazisha kwa kichwa maridadi cha juu kwa juuu.
Arjen Robben alimpiga chenga Gerard Pique ndani ya Box na kupiga shuti na De Vrij aliunganiosha kwa kichwa na kuifanya uholanzi kuongoza kwa bao tatu moja .
Van Persie alifunga Goli jingine na baada ya kumpora mpira Iker Casillas , Huku Robben's akitumia kasi kubwa kuimaliza ngome ya uispania na kufunga bao la tano.
No comments:
Post a Comment