CANAVARO:KAMA NIDHAMU HUNA KWA MAXIMO HUCHEZI(SIKIZA SAUTI)
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Nadil Haroub (Canavaro) amesema kocha mpya wa Klabu ya soka ya Yanga Mbrazil Marcio Maximo ni mkali na Hana masihara katika swala la Nidhamu na amewahasa wachezaji wenzake wawe makini kuhusu Nidhamu kwani Kocha huyo hana Mzaha na amemsifu sana na Kusema Bila Maximo yeye asingefika Alipo sasa .
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment