Kocha mkuu wa Timu ya soka ya Tanzania Mart Noij amesema kuwa haijui Zanzibar na anapanga kwenda kutembea baada ya Mechi kati Tanzania na Msumbiji .
Noij anasema kuwa anaipenda afrika na alianza kufanya kazi miaka kumi na tano iliyopita katika bara la afrika lakini Bado hajafika katika Ardhi ya Zanzibar na anapanga Baada ya mechi aende akaone jinsi Kisiwa hicho kilivyo japokuwa amekiri kuwa kuna Baadhi ya Wachezaji wazuri kutoka Zanzibar akiwemo Nahodha Nadir Haroub Canavaro na Said Morad kuwa ni wachezaji wazuri .
SIKIZA
No comments:
Post a Comment