Alexis Sanchez amefunga Goli lake la kwanza akiwa na Arsenal huku washika Bunduki hao wakiwatoa
Besiktas na kufuzu kwa Mara ya Kumi na saba17th Mfululizo katika michuano ya Klabu Bingwa ulaya hatua ya Makundi .
Kijana huyo aliyesajiriwa kwa uhamisho wa pauni Milioni £35m kutoka Barcelona
ndiye alifunga goli katikla Dakika ya mwsiho ya kipindi cha kwanza wa muda wa Nyongeza .
Arsenal walipata Nafasi za kushinda mechi Mapema lakini Santi Cazorla na Alex Oxlade-Chamberlain walipoteza nafasi .
Beki wa Kulia wa Timu hiyo Mathieu Debuchy alitolewa nje kwa Kadi nyekundu baada ya kuoneshwa kadi ya Pili ya Manjano Dakika kumi na tano kabla ya Mpira Kwisha na Ndilo lilikuwwa Goli pekee katika mchezo huo .
Arsenal inasubiri kupangwa kwenye makundi siku ya kesho huko monaco Nchini Ufaransa.
No comments:
Post a Comment