Mchango wa Cristiano Ronaldo's kwa timu ya soka ya Real Madrid CF's baada ya kutwaa ubingwa wa ulaya msimu uliopita umetambuliwa na Shikirisho la soka la Bara la Ulaya UEFA na kupewa tuzo ya Uchezaji Bora wa Ulaya mwaka 2013/14 katika sherehe zilizofanyika katika ukumbi wa Grimaldi Huko Monaco huku Rais wa UEFA Michel Platini akimkabidhi tuzo hiyo .
Ronaldo, ni nmoja ya wagombania tuzo hiyo kwa mwaka wa Nne mfululizo , Amemaliza akiwa mbele ya mchezaji wa FC
Bayern München's Arjen Robben na Manuel Neuer katika kura zilizopigwa papo kwa pao ikijumuishwa Waandishi wa habari 54 ambao walipiga kura kutumia mfumo wa Kieletronick wakiwapigia kura vijana wa tatu walitangazwa kugombea tuzo hiyo jana.
Ronaldo,
akiongea katika Hafla hiyo baada ya kupangwa kwa makundi ya ligi ya mabingwa barani ulaya ,Amesema : "Nina furaha Sana na Lazima niwashukuru Wachezaji wenzangu kwasababu bila wao nisngefanikiwa ,Binafsi sina Zawadi kama hii katika Chumba cha Makumbusho yangu na ili jambo sio rahisi kulifanya . Sasa naenda kuweka katika makumbusho yangu , . "
Tangu kikombe hiki kipewe mfumo mpya hakuna Timu ambayo imeweza kutwaa mara mbili mfululizo je anasemaje Ronaldo
"Litakuwa Jambo zuri lakini tunatazamia kufanya msimu huu
Mabingwa mara tano wa Ulaya Wamepangwa katika kundi moja na Real Madrid wakiwa wanarejea katika Ligi ya mabingwa bara la ulaya .
Liverpool,inarejea mara baada ya miaka mitano ,pia wamepangwa na klabu za Basel na Ludogorets ya Bulgaria.
Manchester City itakutana na Bayern Munich kwa mara ya tatu mfululizo katika mismu minne , wakiwa pamoja na CSKA Moscow na Roma.
Arsenal wao watambana na Borussia Dortmund kwa msimu wa pili , huku Chelsea wakipata unafuu kwa kupangwa na Schalke,
Sporting Lisbon na Maribor.
Atletico Madrid |
Juventus |
Olympiakos |
Malmo |
|
|
Real Madrid |
Basel |
Liverpool |
Ludogorets |
|
|
Benfica |
Zenit St-Petersburg |
Bayer Leverkusen |
Monaco |
|
|
Arsenal |
Borussia Dortmund |
Galatasaray |
Anderlecht |
|
|
Bayern Munich |
Manchester City |
CSKA Moscow |
Roma |
|
|
Barcelona |
Paris Saint-Germain |
Ajax |
APOEL |
|
|
Chelsea |
Schalke |
Sporting |
Maribor |
|
Porto |
Shakhtar Donetsk |
Athletic Bilbao |
BATE |
|
No comments:
Post a Comment