Leonardo Ulloa's amefunga goli lake la pili katika mechi ya pili kwenye uwanja wake wa Nyumbani na Kuipatia Leicester Alama moja Dhidi ya Arsenal.
Alexis Sanchez alifunga goli la uongozi kwa Arsenal na Goli la Kwanza katika Ligi kwa shuti kali baada ya Yaya Sanogo kushindwa kuumiliki mpira ambao ulikwisha mpita mlinda mlango
Kasper Schmeichel.
Lakini Nigel Pearson's ambaye amepandisha timu hiyo walirejesha goli kupitia kwa Raia wa Argentina Ulloa ambaye aliruka kuunganisha klosi zaidi beki wa Laurent Koscielny na kupiga kichwa .
Leicester ilipata nafasi za wazi katika kipindi cha pili ,ambayo Ulloa na Mchezaji aliyeingia kipindi cha pili Jamie Vardy walikaribia kufunga .
Ulloa alitengeneza nafasi kadhaa mapema katika kipindi cha pili baada ya kupasiana pasi mbili tatu na Riyad Mahrez na kumuacha beki Calum Chambers akiwa chini huku akigeuka kwa wepesi, lakini alipiga mpira uliokwena kugonga nyavu za pembeni .
Katika dakika za mwisho , Vardy alipata mpira na kupeleka mashambulizi ya Ghafla hadi kwenye eneo la penati lakini huku akipigiana pasi David
Nugent, lakini shuti lake liliokolewa na mlinda mlango wa Arsenal Wojciech
Szczesny.
Huku Leicester wakionyesha kulizika na alama moja ,ulikuwa mchana mgumu zaidi kwa Arsenal, ambao beki wao kati Laurent
Koscielny akitolewa nje baada ya kuumia kichwa .
Kiungo Mesut Ozil aliweza kujikaza ma baada ya kuumia kifundo cha mguu na
Alex Oxlade-Chamberlain akipata maumivu ya msuli wa mguu , Lakini Kocha wa arsenal Arsene Wenger
alisema adhani kamka walikuwa makini .
No comments:
Post a Comment