Brendan Rodgers ameshekherekea mechi yake ya mia moja akiwa na klabu cha soka cha Liverpool akiwa kama meneja wa timu huku akipata ushindi malidadi, akiivulumisha mabao matatu kwa bila Timu ambayo ilikuwa haijafungwa mpaka sasa ya Tottenham katika Dimba la White
Hart Lane.
Mario Balotelli alipoteza nafasi Kadhaa katika siku ya kwanza ya Mchezo lakini haikujarisha sana kwani Bado waliibamiza Spurs ambao wamefungwa kwa mara ya kwanza ikiwa na kocha Mpya Mauricio Pochettino.
Liverpool, walipata ushindi wa mabao 5-0 katika mechi kama msimu uliopita , ambapo Raheem Sterling alitengeneza moja kati ya Magoli hayo .
Steven Gerrard's alifunga kwa penati goli la pili na Alberto Moreno's alifunga goli la tatu mara baada ya kuukokota mpira kutoka katikati ya kiwanja .
No comments:
Post a Comment