Matumaini ya Manchester City's kutetea ubingwa yanapata mashaka baada ya mkasa mkubwa kutoka kwa klabu ya Diafra Sakho
ambaye anafunga goli kattika mechi ya sita na kuisaidia West Ham kupata ushindi wa mabao mawili kwa moja Dhidi City .
City, wapo alama tano nyuma ya Viongozi wa ligi Chelsea, Morgan Amalfitano alimpatia pasi Enner Valencia's ambaye alifunga goli kutoka mita tatu .
City waligongesha mwamba mara mbili baada ya Sergio Aguero na Yaya Toure kugongesha miamba hiyo Kabla ya Sakho kuunganisha mpira wa Krosi kutoka kwa Aaron Cresswell's.
David Silva alisawazisha goli moja baada kupigwa kona
No comments:
Post a Comment