HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

15 June 2009

AZIMIO LA MKUTANO WA WAJUMBE SHIMMUTA ULIOFANYIA KA JUNE 13 MOROGORO (SUA)

Wajumbe wa mkutano mkuu wa halmashauri kuu ya shirikisho la michezo la Mashirika ya umma na makampuni binafsi Binafsi Tanzania (SHIMMUTA) wameazimia kumuona Makamu wa Rais Wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania DK Ali Mohamed Shein A mbaye ndiye mlezi wa SHIMMUTA kumueleza mustakabari Kumueleza mustakabari Mzima wa maenderleo ya SHIMMUTA ikiwa ni Pamoja na kum,uomba kuwa mgeni rasmi kuwa Rasmi rasmi katika kufungua Michezo ya SHIMMUTA ya Mwaka huuitakayo fanyika Tanga mnamo Tarehe 16oktoba 2009. Azimiop hilo limefikiwa na wajumbe 8 wakiwemo Bw syllersaid Mziray “super coach”kutoka chuo kikuu huria cha Tanzania(OUT) JUMANNE CHAGULA(TBC) ,WILBERT KIJNGA, (AICC) YUSUPH SINGO CHUO KIKUU ARDHI ,DK SIMEON SIMEON LWANDALA Taasisi ya Teknorojia Dar es salaam(DIT)MARIAM BAKARI ,SADIKI SANGAWE,Na AWARD SAFARI AMBAYE NI KHATIBU MKUU KUTOKA NEMC Ambapo Michezo hiyo itaaanza kuanzia16-27oktoba mwaka 2009

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers