HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

29 June 2009

ISHIRINI WATINGA HATUA YA TATU BONGO STAR SEARCH

Jumla ya ya washiriki ishirini wamefuzu hatua ya tatu ya kumtafuta nyota wa muziki wa Bongo(Bongo Star Search) Chini ya Udhamini wa Vodacom Tanzania ,Familiy Heath Intenational ,PEPSI,Kilimanjaro Drinking water na precision Air .Akizungumza na waandishi wa habari Jaji wa shindano hilo Rita Paulsen Amesema kuwa iliwachukua wakati mgumu kuchagua washiriki hao ambapo Zanzibar imeshindwa kabisa kutoa mshiriki kutokana na kutokukidhi kiwango cha uwimbaji ambapo aliwataja washiriki waliofanikiwa kuingia hatua ya ishirini bora
Emilian Rwejuna sponsorship Marketing manager wa vodacon na jaji wa Bongo star seacrch Rita Paulsen
Imani lisu,Frola Ezekiel(arusha),Beatrice Casian(Mwanza),Juma Malik ,Mwapwani Yahaya,Sarafina Mshindo(Dodoma)peter Msechu(Kigoma)Leah Julius(Tabora),Issah Ahmed,Anitha Jackson(Mbeya),Jackson George(Tanga)Alice Peter,Catherine Ntepa,Kelvin Mbati,Lulu Abdully,Maybou Mtekateka,Mary Lucas,Yacinta Richard na Saidi Omary(Dar es salaam) vilevile washiriki hao watapata mafunzo zaidi ya Kimuziki na kupigwa msasa ipasavyo na pia wataanza wataanza kutumia ala kwenye uimbaji wao na kutoa nafasi kwa watanzania kuwapigia Kura.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers