HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

29 June 2009

TSA YAPIGWA TAFU SAFARI YA ITALIA

Chama kinachosimamia Mchezo wa kuogerea nchini kimepata msaada kutoka makampuni ya Exporting Trading company Inayo jishgurisha na technorojia ya mawasiliano ya kompyuta limited na Messrs Mahindra and Mahindra inayojishgurisha na vifaa vya kilimo kupeleka mchezaji mmoja katika mashindano ya kugolea duniani FINA yanayotarajia kufanyika Rome iatalia kuanzia July 12 hadi 2 August ambapo Tanzania inatarajiwa kuwakilishwa na wachezaji kumi na mbili na mpaka hivi sasa imepata gharama za mchezaji mmoja.akizungumizia swala hilo katibu mkuu wa Chama Cha kuogerea nchini Ramadhan Namkoveka Amesema kuwa Anaya shukuru sana makampuni hayo kwa msaada walio toa kwani umeleta faraja kwao kwani tamzania itawakilishwa kamakawaida katika michuano hiyo na kuomba makampini mengine kujitokeza kwa wingi kutoa msaada hili kusaidia wachezaji waliobakia kupta nafsi ya kushiriki michuano hiyo.
pichani ni katibu mkuu wa chama kuogerea( TSA) Ramadhan Namkoveka

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers