HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

2 July 2009

Fc VITO Malaika ya kwea pipa kulekea Finland leo

Katibu mkuu wizara ya habari utamaduni na michezo florens Turuke katika aliyevaa suti akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Vito Fc ya kutoka newala alipokuwa akiwaaga leo hii katika ubalozi wa Finland uliopo jijini Dar es salaam.
Timu ya soka ya wanawake ya vito malaika fc kutoka Newala mkoani mtwara imegwa rasmi leo na katibu mkuu wizara ya habari utamaduni na michezo Florens Turuke kwenda kushiriki michuano ya Helsink Cup timu hiyo ambayo inajumuisha wasicha tupu itashiriki mashindano hayo ambayo yanatarajiwa kuanza tar 15 july mwaka huko nchini finland vilevile Jumla ya timu 800 zita shiriki kutoka nchini nyingine ishirini. Lengo kuu la kupereka timu hiyo kwenye michuano hiyo ni kuongeza uwezo wa kimaendeleo kwa wasichana wanaoishi Mtwara na kuongeza uwezo wao hasa katika mambo ya masomo. Timu hiyo imeondoka na shirika la ndege la Ethiopia airline na ina wachezaji kumi na tano na viongozi wa wawili.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers