HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

2 July 2009

sasatel yapania kurahisisha mawasiano Tanzania

Thomas -andre molving mkurugenzi wa uzalishaji wa kampuni hiyo akiwa amesimama mbele ya bangoliliandikwa sasatel akionyesha alama ya dole Gumba kuashiria mambo yameiva.
Kampuni mpya ya mawasiliano ya sasatel imeanza kutoa huduma za mawasiliano kwa gharama nafuu kampuni hiyo ipo chini ya kampuni ya Dovetel ambayo ilisajiriwa hapa nchini mwaka jana vilevile kampuni hiyo inatoa huduma za internet kwa wateja wa manyumbani na ofisini simu za mkononi na mezani na huduma nyinginezo zinazohusiana na mawasiliano kwa kutumia mtandao vilevile imedhamilia kutoa huduma kwa wateja wake kwa gharama nafuu na kutoa huduma bora kwa wateja ilikufanikisha mawasiliano kufanyika kwa ubora na kiwango kinachotakiwa vilevile wateja watakao jiunga kwa mara ya kwanza watapa punguzo nafuu ,kampuni hiyo imejenga minara yake sehemu mbalimbali jijini Dar es salaam, ikwemo kariakoo ,ilala,Changanyikeni,,tangi bovu kigamboni na msasani.

1 comment:

  1. safai sana..angalau kupunguza unyonyaji wa makampuni yaliyopo. Yanatunyonya vibaya sananahuku wakiwa na wabongo wenye nyodo mbaya bila kujua wanafaidi kidogo sana ktk hiyo dhuluma

    Visit Bongo

    ReplyDelete

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers