HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

21 July 2009

MISS REDDS ILALA KUTOA MASHINDANO MATATU

Jackson Kalikumkumtima mratibu wa pambano la miss ilala akisisitiza jambo anaye mfuata ni emilian rwejuna manager masoko kutoka vodacom walipokuwa wakitambulisha waandishi wa habari ma miss watakao shiriki Miss Ilaa Shindano la kumtafuta miss Redds ilala litatoa mashindano matatu ambapo yatajulikana kama Miss Issamichuzi blogspot Photogenic,Miss Talent,Miss Fabak Fashion Personality na miss Talent Katika utafutwaji wa miss Photogenic mashabiki watakiwa kuingia kwenye Blog maarufu nchini Tanzania issamichuzi blogspot na kufuata maelekezo .

Warembo hao kumi na saba wataondoka kesho kwenda Arusha kwa ajili ya kutembelea mbuga za wanyama na kupata mafunzo mbalimbali

Pichani ni Kulia ni Issamichuzi akiwakilisha blog ya issamichuziblogspot.com anayefuta ni mwakilishi kutoa Redds Alex Robert,anayefuata mratibu wa shindano Jacjson Kalimkutima na manager masoko Kutoka Vodacom Emilian Rwejuna.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers