HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

29 August 2012

NANI MWANAUME LEO ? ROYAL MADRID VS BARCELONA


SANTIAGO BERNABEU     
 August 29, 2012 4:30 PM EDT
Estadio Santiago Bernabéu — Madrid
Lionel Messi, Xabi Alonso, Fabio Coentrao, Cristiano Ronaldo - FC Barcelona v Real Madrid
Hii sasa kashfa Ronaldo naye anakaba
Real Madrid imeshindwa kutoka na ushindi katika mechi zake tatu za mwisho hii ikiwa takwimu iliyokaa muda mrefu zaidi tangu May 2011.

  • Kipigo Dhidi ya  Getafe ndio mwanzo mbaya zaidi kutokea katika kikosi cha   Los Blancos tangu msimu wa mwaka  1973.
  • Los Meurenges wameshindwa kupata ushindi wakiwa nyumbani dhidi ya  Barcelona katika mechi zao  saba za mwisho walizo  kutana
  • Ushindi Mkubwa wa Madrid  dhidi ya Barcelona katika uwanja wao wa nyumbani Bernabeu ilikuwa  4-1 katika ligi ya uspania
  • Barcelona wanakutana   Real Madrid kwa mara ya  221 katika mechi zinazotambulika na chama cha soka uispania kila timu imeshinda mara  87
  • Kama Barcelona itashinda mechi ya Leo itakuwa inaongoza kuifunga Madrid kwa mechi walizo kutana kwa mara ya kwanza katika miaka 80 iliyopita 
  • Lionel Messi tayari ameshafunga mabao matano tangu msimu huu uanze na amevunja rekodi yake kuanza msimu vizuri zaidi na ndiye mchezaji pekee wa mwisho kufunga Hat Trick katika El  Clasico ambapo alifunga katika mechi waliyokwenda mabao matatu kwa matatu mwaka 2007 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers