HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

21 July 2009

Ngumi lazima zitambuliwe jamani atupigani hovyohovyo

Picha ni mkufunzi wa sheria za ngumi nchini Emanuel Mlundwa akitambulisha pambano la ngumi la uzito wa midle weight wa International Circuit BOxing (ICB) kati ya Japhet Kaseba na Francis Cheka ambaye Ndiye Bingwa anayetetea Ubingwa huo japhet kaseba amezoeleka machoni pa watua wengi katika mchezo wa Kick Boxing lakini safari hii atacheza Boxing. Pichani ni Francis Cheka kutoka morogoro ambaye anatetea ubingwa wake hizi sasa amabpo atapigana na Japhet kaseba hivi karibuni wengine unao waona pichani ni wadau wa Mchezo ngumi chini

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers