
2 July 2009
Merreikh beat atraco 6-1


“ A window into the traditional performing and cultural arts of southern Tanzania”The exhibition will be also showcasing the work of ADEA (The African Development thoughEconomic and Arts) in Mtwara, from 14 to 16 August 2009 for the second edition of the MakuyaFestival.The aim is to preserve, promote and perpetuate the traditional culture and performing artsof Makonde, Makua and Yao tribes in the region through the MaKuYa Festival. The purpose is also to catch the audience attention through exhibition to understand thehistory and the uses of Masks in dances. Photograph and Traditional clothes will also be exhibited.The exhibition is organized by Alliance Française in partnership with MaKuYa Festival andThe centre for African Development through Economic and the Arts.
sasatel yapania kurahisisha mawasiano Tanzania
Kampuni mpya ya mawasiliano ya sasatel imeanza kutoa huduma za mawasiliano kwa gharama nafuu kampuni hiyo ipo chini ya kampuni ya Dovetel ambayo ilisajiriwa hapa nchini mwaka jana vilevile kampuni hiyo inatoa huduma za internet kwa wateja wa manyumbani na ofisini simu za mkononi na mezani na huduma nyinginezo zinazohusiana na mawasiliano kwa kutumia mtandao vilevile imedhamilia kutoa huduma kwa wateja wake kwa gharama nafuu na kutoa huduma bora kwa wateja ilikufanikisha mawasiliano kufanyika kwa ubora na kiwango kinachotakiwa vilevile wateja watakao jiunga kwa mara ya kwanza watapa punguzo nafuu ,kampuni hiyo imejenga minara yake sehemu mbalimbali jijini Dar es salaam, ikwemo kariakoo ,ilala,Changanyikeni,,tangi bovu kigamboni na msasani.
Fc VITO Malaika ya kwea pipa kulekea Finland leo
Timu ya soka ya wanawake ya vito malaika fc kutoka Newala mkoani mtwara imegwa rasmi leo na katibu mkuu wizara ya habari utamaduni na michezo Florens Turuke kwenda kushiriki michuano ya Helsink Cup timu hiyo ambayo inajumuisha wasicha tupu itashiriki mashindano hayo ambayo yanatarajiwa kuanza tar 15 july mwaka huko nchini finland vilevile Jumla ya timu 800 zita shiriki kutoka nchini nyingine ishirini.
Lengo kuu la kupereka timu hiyo kwenye michuano hiyo ni kuongeza uwezo wa kimaendeleo kwa wasichana wanaoishi Mtwara na kuongeza uwezo wao hasa katika mambo ya masomo.
Timu hiyo imeondoka na shirika la ndege la Ethiopia airline na ina wachezaji kumi na tano na viongozi wa wawili.
Subscribe to:
Posts (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
TANGAZA KWA MFUMO HUU
