HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

23 April 2010

Omar Chambo akagua ujenzi wa barabara ya inayokwenda umakondeni

Katibu mkuu wa Wizara ya Miundombinu Mhandisi Omari Chambo akiwa ameambatana na meneja mradi wa kampuni ya AM A Kharaf and Sung kuangalia sehemu inayoendelea kufanyiwa marekebisho katika barabara ya Ndundu Somanga yenye urefu wa kilometa 60 kwa kiwango cha lami leo. Picha na Aron Msigwa –MAELEZO. KWA HISANI YA MICHUZIBLOGSPOT

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers