HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

30 August 2012

INIESTA NDIYE BORA ULAYA RONALDO VITU ADIMU KIWANJANI

Andrés Iniesta - Spain 
Kiuogo wa kimataifa wa Uspania   Andres Iniesta ametwaa taji la mwanasoka bora wa ulaya kwa kumpiku mchezaji mwenzake   Lionel Mesi toka Blaugrana  na Nyota wa Real Madrid  Christiano Ronaldo 
Iniesta 28 ambaye alimaliza msimu uliopita vibaya kwa kuachia ubingwa wa uispania kwa wapinzani wao wakubwa Real Madrid na kusukumwa nje ya mashindano ya ligi ya mabingwa barani ulaya dhidi ya chelsea katika hatua ya nusu fainali.Jopo la Makocha lilimpa  Iniesta kula  19 wakati  Messi na  Ronaldo wote walipewa kula 17 na hivyo kufungana aidha kwa uapande mwingine Christiano Ronaldo amepewa  tuzo ya heshima ya mchezaji mwenye kuonyesha vitu adimu kiwanjani  hasa baada ya kufunga goli katika mechi ya SUPERCOPA huku akichukua mpira kwa ufundi wa aina yake kwa kutumia kisigino.
TAZAMA HAPA



No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers