HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

25 August 2012

SBL KUPITIA GRAND MALT YAGAWA VIFAA VYA KWA TIMU ZINAZOSHIRIKI LIGI ZNZ


Na Jackson Sekiete Unguja.
 Kampuni ya serengeti kupitia kinywaji chake cha GRAND MALTA, Imetoa vifaa mbali mbali vya michezo kwa timu zitakazo shiriki Michuano ya ligi kuu inayotarajiwa kuanza tarehe 8/9 huku ufunguzi wa ligi hiyo ukitarajiwa kufanyika Tarehe 1/9.  

Katibu mkuu wa malindi sport club Ally Mohamed Masoud Akikagua baadhi ya Vifaa ambavyo wamepewa na kampuni hiyo SBL Kulia ni  mjumbe wa kamati tendaji ya zff  Hafidhi Ally Twahiri.
Makamu wa pili wa ZDFA, ALLY MOHAMEDY kutoka Pemba  akitoa maelezo kwa waandishi wa habari kuwa  ZFA pemba ina Milioni 5 kwenye akaunti yao na  imetokana na makusanyo  mbali mbali yakiwemo ya usajali na vyanzo vingeni vya mapato.
.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers