LIGI KUU ZANZIBAR
Mshambuliaji wa timu ya Mundu Mfanyaje Mussa, akipiga krosi katika lango la timu ya
Chuoni Mwadini Yussuf, katika mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt,
uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Chuoni ilishinda magoli mawili kwa moja 2--1.
No comments:
Post a Comment