HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

5 October 2012

UKIWANAE WENZAKO WANAJIULIZA TUTAMPATA LINI YUPO YEMEN KWA SASA

Hata mwezi haujaisha aliyekuwa kocha wa`mabingwa Kagame Dar Es Salaam Young African  Tom Saintfiet amepata kazi tena sasa akiwa kocha mkuu wa Timu ya taifa ya yemen Mbelgiji huyo alionyeshwa kadi nyekundu baada kuanza vibaya katika ligi kuu ya soka ya vodacom licha ya kuwapa ubingwa wa afrika mashariki 
Saintfiet, ambaye aliwahi kuwa mtaalamu wa ufundi katika nchi ya Ethiopia  Ataanza kazi siku ya jumapili  ambapo ataiongoza timu hiyo katika mechi ya kirafiki  dhidi ya lebanon  16th October. 
Ni kweli mimi ni kocha wa timu ya taifa ya yemen nina furaha  na nipo tayari kwa kazi hii mpya inaonesha kuwa ninauwezo  Nina Amini kuwa nitapata jambo hapa na kwa kiwango cha timu ya taifa ya Yemen haitakuwa rahisi lakini nilisha thibitisha hapo nyuma na ni ukweli nilifanikiwa  
 “katika mechi yao ya hivi karibuni walifungwa na Morocco mabao manne kwa sifuri katika kombe la Timu za kiarabu mbelgiji huyu ana kazi kubwa ya kuitoa yemen katika nafasi ya 157th katika viwango vya ubora wa fifa  
   

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers