HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

29 November 2012

NI LUIS BIG PHILI FELIPE SCOLARI TENA BAADA YA MIAKA KUMI


Luiz Felipe Scolari  Amerejea tena kupasha mawaidha Timu ya soka ya taifa ya  Brazil's  , Miaka kumi iliyopita Alishinda kombe la dunia lililofanyika korea japan mwaka  2002 .

Shirikisho la soka la  Brazilia limetangaza kuwa  Scolari amechukuliwa kuiongoza timu katika michuano ya kombe la dunia   2014 litakalofanyika kwao .ambaye kwa sasa anachukua nafasi ya  Mano Menezes, ambaye alifukuzwa wiki iliyopita.

Kocha huyo wa zamani wa  Chelsea na Ureno  ,alikuwa hana kazi ya kufanya  tangu alipoachana na klabu ya kutoka   Brazili ya  Palmeiras, na aliongoza  Brazil  kutwaa taji  la tano katika mashindano   yaliyofanyika mwaka   2002 huko  Korea na  Japan.


No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers