HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

31 December 2012

CHANZO CHA KIMATAIFA BA HAENDI CHELSEA


Ba Ambaye thamani yake ni pauni  £7m ameweka wazi kuwa kesho jumanne ndipo kandarsi yake itakuwa huru kuanza mazungumzo na timu nyingine  .

Mchezaji huyu wa zamanai wa  West Ham ameonyesha uwezo wa kuvutia msimu huu baada ya kufunga mabao kumi na tatu .
Ameripotiwa kutaka kujiunga na vilabu vya  Arsenal, Tottenham, QPR na  Paris Saint Germain.

Ileweke kuwa wawakilishi wa Ba walikutana na  Chelsea jumapili jioni na hatarajii kujiunga na timu hiyo  yenye maskani yake huko Stamford Bridge.

Akiongea baada ya ushindi wa mabao mawili kwa moja  2-1 dhidi  Everton , Rafa Benitez alikataa kuthibitisha kuwa anampango wa kumnunua Ba ,Akisema  : "Hatuzungumziii swala hilo ,Tuna mechi muhimu hapa Leo ."

Wawakilishi wa Ba's wanatarajiwa kuzungumza na vilabu vingine huku bosi wa  Newcastle  Alan Pardew akijaribu kufanya linalowezekana kumbakisha mchezaji huyo .

1 comment:

  1. Arsenal ni kila kitu nafasi ipo ya kwako

    ReplyDelete

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers