HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

13 December 2012

CHELSEA 3Monterrey'1 KLABU BINGWA YA DUNIA


Chelsea imeingia kwa mara ya kwanza katika fainali kombe la dunia la kwa upande wa vilabu  baada ya kuibamiza timu kutoka Mexico inayojulikana kama   Monterrey  kwa mabao matatu kwa moja  na kujihakikishia kucheza fainali siku ya jumapili .

 Juan Mata wakiongozwa na kocha wa muda   Rafael Benitez's  walipata bao la uongozi katika dakika ya 17th

Lakini Fernando Torres's alifunga goli la piliu  japokuwa mpira ulimgonga beki wa  Monterrey's  na kuipatia chelsea bao la pili  2-0 lakini  Darvin Chavez aliunganisha kwa makosa krosi ya   Mata's katika juhudi za kuokoa na kujifunga mwenyewe na muda mchache baadae  Aldo De Nigris  aliiptia  Monterrey goli la kufutia machozi Chelsea sasa itacheza na   Corinthians siku ya jumapili kutoka brazil katika mchezo fainali ya vilabu bingwa dunia .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers