HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

13 December 2012

NAJUTA KUWAUZA WATUO HAWA :MAJUTO MJUKUU



Washika bunduki wa london walikatishwa Matumaini yao ya kumaliza angalau na  miaka saba bila kombe la aina yoyote baada ya kusukumwa nje ya mashindano ya capital one  kwa mikwaju ya penati mara baada ya kufungwa na Timu ya ya daraja la pili ya  Bradford City siku ya jumanne katika Dimba la  Valley Parade.

Mfaransa huyo  amewahi kushinda  mara mbili  kwa mpigo makombe mawli na kuifanya arsenal kuwa timu ya kwanza kucheza na  kutwaa ubingwa bila kufungwa hata mechi moja  katika msimu wa mwaka  2003-04.
japokuwa mipango yake ya kuitengeneza tena timu hiyo imekuwa ikiota mbawa mara baada ya kuuuza wachezaji muhimu kama   Samir Nasri, Cesc Fabregas, na  Robin van Persie msimu huu .


Wenger anasema "Najutia kuwa tulikuwa na timu nzuri miaka miwili au mitatu iliyopita  tulikuwa na timu ambayo ingeweza kushindana hasa ile tuliyopoteza kwa  Barcelona, 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers