HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

8 December 2012

UGANDA YAIDHAIBU KENYA KUTETEA TAJI !!!


Timu ya soka ya taifa ya Uganda imetwaa tena taji la mashindano ya kombe la vyama la  baraza la michezo afrika mashariki na kati baada ya kuifunga wapinzani wao wakubwa kenya mabao mawili kwa moja 

katika mchezo wa fainali  Goli la Kujifunga wenyewe Anthony Kimani  katika dakika ya  26th liliipatia uganda goli la uongozi  ,
Aidha mshambuliaji wa timu ya taifa ya uganda   Robert Ssentongo's alipiga shuti ambalo lilim'babatiza mlinzi wa   Harambee Stars  Anthony Kimani na kumpita milnda wa kenya  Duncan Ochieng. 

 Kimani  alirekebisha makosa yake baada ya kufunga goli la kusawazisha katika kipindi cha pili nakwenda goli moja moja 
lakini dakika tatu baadae  uganda walichagizwa na mashabiki wao na walipata mpira wa adhabu na kuunza haraka huku  Godfrey Walusimbi akimpatia  Geoffrey Kizito na kumfunga kipa wa kenya  Ochieng  na kuipatia goli la ushindi .
ilikuwa ni furaha na nderemo kwa  Uganda baada ya filimbi ya mwsho kupulizwa  na kutwaa taji la  13th la CECAFA   - Mara nane zaidi ya  Kenya . 

 .
 Uganda imepata kikombe na  $30,000 kwa kutwaa ubingwa ,washindi wa pili   Kenya wameapata  $20,000, na  Zanzibar $10,000 baada ya kupata ushindi wa tatu 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers