HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

18 January 2013

ARSENAL RAHA TUPU SASA KUTAFUTA WENGINE

Theo Walcott

Mshambuliaji Arsenal   Theo Walcott amaetia saini kandarasi ya miaka mitatu na nusu na klabu yake ya arsenal ambapo atalipwa ujira wa pauni laki moja  £100,000 kwa moja  juma  
Kijana huyo mwenye miaka 23 ambaye ni mshambuliaji wa Uingereza amebakiza miezi sita katika kandarsi yake ya sasa alikataa deal ya miaka mitano ya ujira wa pauni 750000 kwa wiki mwezi august .

Aidha mazungumzo yalisimama Baada ya walcott kukataa kandarasi ya kwanza 

Walcott -kwa sasa amekuwa akitumiwa kama mshambuliaji wa kati na ametia kimiani magoli kumi na nne Wanasheria wa arsenal na mshauri wa mchezaji huyo walikutana jana saa moja usiku kwa saa za uingereza ambapo ni sawa na saa nne usiku za tanzania kumaliza utata huo  ambapo aliperekewa kandarasi mbili ya kulipwa pauni 90000 na bonasi ya pauni milion tatu kama angesaini kwa miaka mitano lakini alikubali kandarasi ya miaka mitatu na nusu  ya kulipwa pauni laki moja  100000 na kusaini haki zake za mataumizi ya picha zake 

 Sasa itakuwa nafuu kwa arsenal ambayo imepoteza wachezaji wawili katika kila msimu kwa kuuzwa timu nyingine akiwemo   Robin van Persie kwenda  Manchester United pindi alipobakisha mwaka mmoja katika kandarasi yake  Samir Nasri kwenda  Manchester City alipokuwa katika hari kama hiyo.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers