HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

18 January 2013

Nigel Adkins Nje aliyemkwatua Owen Korea japan Ndani

Timu ya soka ya Southampton imemtimua kazi kocha wao   Nigel Adkins baada ya miaka miwili na nusu  na sasa amechaguliwa Raia wa aregentina  Mauricio Pochettino kuingoza timu hiyo.


 Soton walitoka nyuma katika mechi ya ligi ya premier na kutoka sare ya mabao mawili kwa mawili na  Chelsea siku ya Jumatano  na sasa wako alama tatu katika mstari wa kushuka daraja 

Mauricio Pochettino 
Pochettino,  Mwenye miaka 40, ataanza kazi siku ya jumatatu dhidi ya Everton .

Muargentina huyo aliachana na klabu ya uispania  Espanyol mwezi  November na  atakutana timu yake mpya  siku ya mazozei hapo kesho .Mwenyekiti wa  Southampton  Nicola Cortese  amethibitisha hilo kwa kusema  

Maamuzi haya yamefanya kwa kutazama maendeleo ya muda mrefu ya klabu hiii ".

"Tuna kiri na kuutambua mchango wa  Nigel alioufanya kwa miaka miwili kwasasa tunaaangalia matatzamio ya kundelea na maendeleo ya klabu yetu mbele ya safari kiukweli tuilihitaji mabadiliko .
 
"Mauricio Ni kocha Bora  na anaheshimika na ana ubora tunao utaka hasa kiufundi -

Pochettino amewahi kuchezea  Espanyol na  Paris Saint-Germain na alikuwa beki wa kutumainiwa katika miaka ishirini ya soka na ndiye aliyemchezea faulo  Michael Owen mwaka   2002 katika kombe la dunia na uingereza  kupata pernaty iliyofungwa na na David Beckham.

Pochettino Amesema kuwa : "Nafasi kama hii:- mkufunzi yoyote anaitamani na kuitaka  hii ni klabu kubwa yenye maono ya mbali na ya kupendeza .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers