28 February 2013

CHESLSEA USO KWA USO NA MANCHESTER UNITED KOMBE LA FA

Ramires's shot for Chelsea goes in off Fernando Torres

Chelsea Itakutana na  Manchester United  katika hatua ya Robo fainali ya kombe la  FA  baada ya kuifunga timu ya ligi ya daraja kwanza ya  Middlesbrough katika uwanja wa  Riverside.

huku  John Terry's akirejea uwanjani  na kuwa mmoja kati ya  wachezaji nane ambao hawakucheza mechi iliyopita dhidi City Mbrazil  Ramires's  alifunga bao kwa shuti kali lilomgonga   Fernando Torres na kujaa kimiani . 
 
  akitokea  kwenye Benchi  Eden Hazard aliongeza uhai sehemu ya kiungo na kumtengenezea Victor Moses ambaye alifunga goli la pili .

No comments:

Post a Comment