HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

15 March 2013

ROBO FAINALI YA LIGI YA MABINGWA HII HAPA HATARI

UEFA Champions League quarter-final draw pot and balls

MALAGA(ESP) VS BORUSIA DORTMUND(DEUT)
REAL MADRID(ESP) VS GALA(TUR
PSG(FR) VS BARCELONA(ESP)
BAYERN MUNICH(DEUT) VS JUVENTUS(ITA)
 UEFA Champions League quarter-final draw result
UEFA Champions League quarter-final draw result

FC Bayern München coach Jupp Heynckes : “Naijua   Juventus vvizuri sana .Nimewaona mara nyingi katika miaka hii miwili .Na walikuwa mabingwa msimu mwaka jana  ,na wanaonekana kuukaribia ubingwa msimu huu kwa mara nyingine  .Ni timu nzuri kwa sasa kutoka italia kwa sasa na wana timu nzuri na kiwanja kivuri pia  .Na wako vizuri kimbinu na wanazuia vizuri na kushambulia vizuri  .Nina uhakika itakuwa mechi nzuri sana nzuri sana na tunaweza kufanya vizuri ni wapinza wa kweli  .
-----------------------------------------------------------------
 Galatasaray AŞ Makamu wa rais wa timu hiyo  Ali Dürüst : "Unapoingia robo fainali ,timu zote ni nzuri lakini  Real Madrid ni timu bora zaidi  kuliko timu zote .kama ukiwemo malengo yako katika mtazamo wa ushindi , Unatakiwa kuonyesha uwezo na kuapmbana na timu ya aina hiyo  . Nina tegemea mchezo huu utatazamwa na jamii ya soka duniani . na Tutafanya kila tuwezalo tufanikiwe  ,ni vizuri kuanzia ugenini .lakini kwa hari ilivyo sasa sioni tofauti ya nyumbani na ugenini 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers