HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

27 April 2013

MARACANA YAFUNGULIWA RASMI LEO


Maracana stadium, 11 April 2013 

Uwanja maarufu wa mpira wa miguu nchini Brazil ambao utatumika kuchezea fainali ya michuano ya kombe la dunia hasa mchezo wa fainali  mwaka 2014 katika kombe la dunia umefunguliwa leo baada ya kufungwa kwa matengenezo kadhaa .

Aidha kutachezwa mechi ya maonyesho kati ya wachezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil ambao wataongozwa na  Ronaldo na  Bebeto, ambao watacheza mbele ya watazamaji  30,000 kukiwa na mashuhuda Elfu Thelathini  kati ya mashuhuda wa mechi hiyo watakuwa wafanyakazi wa kiwanja na mkuu wa bodi  ya uwanja ambaye pia ni rais wa Brazil  Dilma Rousseff  na Meya wa  Rio de Janeiro's  Eduardo Paes japokuwa uwanja huo unachukua watu  80,000. 
 
moja kati wachezaji wataokao cheza katika uwanja huo ni wale walio wahi kutwa ubingwa dunia akiwemo .
Aldair, Zetti, Jorginho, Mauro Silva, Ricardo Rocha na Edilson ni moja ya wachezaji mabao wanatarajia kuthibitisha uwepo wao katika mechi hiyo .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers