HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

27 April 2013

KLOPP Mourinho KANIAMBIA ANAKWENDA CHELSEA


 

Mourinho anaweza kuaonekana anarejea kuifundisha chelsea msimu ujao  kwa mujibu wa Jürgen Klopp katika mechi ya  Borussia Dortmund-Real Madrid , alinukuliwa na gazeti la  Bild la kijerumani .
 Mourinho anafanya kazi kwa kuitengeneza chelsea  'Na Blues' wanaonekana kukitengeneza kikosi cha kwa kutaka huduma ya  Lewandowski, na inaonekana amezungumza na kocha huyo wa ujerumani ambaye unaweza kumuona picha wakiwa wanafanya utani wakati wa mechi ya ligi ya mabingwa hatua nusu fainali ya klabu bingwa bara ya ulaya katika uwanja wa  Iduna Park .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers