HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

23 May 2013

BINGWA WA UROPA HUENDA AKASHIRIKI LIGI YA MABINGWA MWAKANI !!

 John Terry with the Europa League trophy

Shirikisho la soka barani ulaya litatangaza hapo kesho kama bingwa wa ligi ya ulaya au uropa league kama atapewa nafasi kuwania kufuzu ligi ya mabingwa barani ulaya msimu unaofuata .

Uefa imesema lengo la kufanya hivyo ni kutaka kuongeza ubora wa mashindano ambayo ni ya pili kwa ukubwa katika bara la ulaya .
mambo mengine yaliyofikiwa leo hii ni uwanja wa  Berlin's Olympic utaanda fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya mwaka  2015.
mwaka huo huo mechi ya fainali ya ligi ya ulaya itafanyika katika uwanja wa  Warsaw's huko polandi ,uwanja ambao   ulituma katika mechi ya ufunguzi ya mashindano ya mataifa ya ulaya 2012.

"Aidha viwanja hivyo  viwili vitatumika katika fainali mbili za mashiandano ya ulaya   2015," amesema katibu mkuu wa shilikisho la soka barani ulaya  Gianni Infantino.
mwaka ujao , fainali ya ligi ya mabingwa itafanyika    Lisbon na  and Europa League itapelekwa  Turin.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers