HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

31 May 2013

BLATER KAUA !

Sepp Blatter


Katika hari inayoonekana kukomesha kabisa ubaguzi wa rangi shirikisho la soka dunia fifa limetangaza adhabu kali ikiwemo ya kushuka daraja



Moja kati ya adhabu itakayotolewa ni faini ,kucheza bila mashabiki au kupewa onyo na kama tatizo litaendelea au kujirudia timu itapakonywa alama au kushushwa daraja au kutolewa katika mashindano 

Mkuu wa kuzuia vitendo vya ubaguzi Jeffrey Webb, , amesema maamuzi hayo yameafanyika katika wakati muafaka ".

Ameongeza : "familia yetu ya soka inaelewa kuwa kinachotangazwa sasa katika vyombo vya habari ni aslimia moja tu ya tatizo lenyewe  ambavyo limetokea kwa sasa ulimwenguni .

"Tunatakiwa kuchukua hatua ili katika miaka  20 au  50 ijayo liwe historia kuwa ubaguzi au unyanyasi wa aina hiyo hauafai ."

Fifa,ambao ndio wanasimamia soka duniani , wamepitisha sheria hii kwa asilimia  99% katika mkutano tunaofanya leo  hapa  Mauritius.

.
"Moja kati ya wapinga ubaguzi wa zamani na mfungwa wa maswala ya kibaguzi kutoka afrika kusini  Tokyo Sexwale, ambaye sasa ni mwanachama wa fifa katika maswala ya ubaguzi amesema kuwa lazima tutazame kutumia kamera nani akupiga kura kwani kura moja imeharibika katika zile tulizo piga dhidi ya ubaguzi .

"."

Webb anasema kuwa kupiga kura  kukomesha ubagzi ni lazima : "Na ningependa kusema hilo ni kosa kwani kura moja haikupigwa ambayo nia aslimia moja tu ya kura zote  1% "

Rais wa , Fifa sepp  Blatter amekubali wazo hilo na kusema tunataka tatizo hili lilikomeshwe kwa kiwango cha sifuri .na tunataka kuonyesha kuwa hatutaki jambo hili  


Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya uingereza  Luther Blissett, ambaye ni balozi wa kupinga ubaguzi wa rangi kwa kutumia kadi nyekundu amekubaliana na hatua hizo .

"kwa maana hii timu yoyote itakayohusika na ubaguzi wa rangi itatolewa katika mashindano Huku urusi ambayo inaanda kombe la dunia inaweza kujikuta ikiaga mashindano itakayoyaanda yenyewe kwani ndio nchini kinara kwa matatizo hayo 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers