HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

19 May 2013

Dilma Rousseff AFUNGUA KIWANJA CHA MANNE GARINCHA

Brazil's President Rousseff and Brasilia's Governor Queiroz attend the inauguration of the National Mane Garrincha Stadium in Brasilia
Rais wa Brazil' Rousseff  na Gavana wa Brasilia's  Queiroz wamehudhuria sherehe za ufunguzi za kiwanja cha  Mane Garrincha nchini  Brazil
Rais wa Brazil  Dilma Rousseff ,na Waziri wa michezo wa nchi hiyo   Aldo Rebelo,na Gavana wa wa jimbo hilo  , Agnelo Queiroz walikuwepo katika tukio la ufunguzi wa kiwanja cha mane Garincha ...kiwanja cha  Mane Garrincha ni kiwanja ambacho kilitengenezwa ,mwaka  1974,kimetengenezwa tena na kujengwa upya mwaka na kufunguliwa usiku wa kuamkia leo, , na kitatumika kwa mara kwanza katika mashindano ya jimbo hilo katika fainali ambayo itakutanisha timu zinazoshiriki kombe la jimbo hilio.Aidha uwanja huo pia utatumika katika mashindano ya mabara ya fifa  kuanzia  Jun 15.
.

Kiwanja hicho kinaingiza watu  71,000 ,na  viti vimewekwa umbali wa mita saba nukta tano kutoka sehemu ya kuchezea 
  No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers