HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

19 May 2013

JE UNAJUA KISA CHA MWAMUZI MARTIN SAANYA KUPIGWA UWANJANI ?

 
Mwamuzi wa mchezo wa Simba na Ynaga Martin Saanya alijeruliwa kabla ya mpira kwisha alipokwenda kuzuia ugomvi kati ya  , Saidi Cholo wa Simba alionekana kusukumana kiugomvi na mchezaji Didier Kavumbagu  wa Yanga hivyo muamuzi huyo kulazimika kukimbia kwenda kutuliza purukushani hiyo pembeni mwa uwanja.
Lakini badala ya kuwa jukumu la kawaida kwake, liligeuka na kuwa shubiri na kuanza kuvuja Damu   sehemu ya juu  kutoka juu ya jicho la Saanya baada ya kuwaachanisha wachezaji.
Baada ya matibabu ya dakika tano, muamuzi huyo alimaliza sekunde zilizokuwa zimebaki mchezoni bila kutoa adhabu yoyote kwa mchezaji huyo wa Simba ambaye alionekana kurusha ngumi.
hata kituo kilichopewa dhamana ya kurusha mpamabano huo wa supersport 9 akionyesha majereo ya picha ili kueeza kujua nini kilimsibu mwamauzi huyo pengine hamu kubwa kwa watanzania na mashabiki kusubili nini kitaandikwa katika taarifa ya mechi ya mwamuzi huyo kuhusu mechi nzima iliyochezwa hapo jana huku ulimwengu mzima ukitazama mpira kupitia picha za televisheni 

Refa wa mechi ya Simba na Yanga, Nartin Saanya akiwa chini baada ya kugongwa kwa bahati mbaya na mchezaji wa Yanga, Didier Kavumbagu.

Timu zilikuwa:
SIMBA: Juma Kaseja, SaidiCholo, Haruna Shamte, Shomari Kapombe, Mussa Mude, William Lucian, Mwinyi Kazimoto, Abdallah Seseme (Felix Sunzu dk.48), Mrisho Ngassa, Amri Kiemba (Jonas Mkude dk.76), Haruna Chanongo (Ramadhani Singano dk 75).
YANGA: Aly Mustafa, Mbuyi Twite (Juma Abdul dk.85), David Luhende, Nadir Haroub, Kelvin Yondani, Athumani Iddi, Simon Msuva, Frank Damayo, Didier Kavumbagu, Hamisi Kiiza (Nizar Khalfani dk.77), Haruna Niyonzima. 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers