HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

31 May 2013

FABREGAS :KHERI NIRUDI ARSENAL LAKINI SIO MANCHESTER UNITED

Cesc Fabregas

Cesc Fabregas  anaonekana kukataa dili ya kuelekea   Manchester United na anataka kurudi  Arsenal kwa mujibu wa  The Mirror.
United wameonekana kuhusishwa na uvumi wa kutaka kumnunua mchezaji huyo wa kihispaniola katika majuma kadhaa yaliyopita ,huku taarifa zikisema kuwa David Moyes ameweka mawindo yake kwa  Fabregas kama mchezaji muhimu katika wakati wa kiangazi 

Moyes alilipotiwa kuwa anataka kumsajiri mchezaji huyo na kumpeleka  Old Trafford.
lakini hilo linaoneka kuwa gumu kwani mchezaji binafsi anaoneakana kutaka kurejea katika klabu yake ya zamani ya  Arsenal,timu aliyochezea tangu akiwa na miaka 16 hadi alipoahama kwenda  Nou Camp kwa ada ya  £35 million mwaka  2011.
Arsenal bado imeweka mmbadala namba moja wa kumsajiri mchezaji huyo katika dimba la Emirates.
Barcelona inaonekana kutokumtumia sana mchezaji huyo na haina mpamgo wa kumuuza lakini yeye mwenyewe anataka kuuzwa huku kombe la dunia likiwa mbioni .
Wakati  Fabregas apati muda mwingi wa kucheza pale  Catalan ,pia amekuwa hafurahishwi sana na mwenendo wa timu na jinsi anavyookaa kwenye Benchi hasa katika mechi za ulaya 
.
Kama mchezaji huyo atarejea litakuwa jibu sahihi kwa mashabiki kutokana klabu hiyo kufanya vibaya katika miaka ya hivi karibuni kocha wa Gunners  Arsene Wenger anaoneakan atatumia pesa nyingi wakati wa usajiri wa kiangazi na klabu hiyo inaonekana  kuonyesha uwezo msimu huu katika swala la usajiri .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers