HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

21 May 2013

HANSPOPE :NGASA KAJIKAANGA MWENYEWE

 



Katika hari isiyokuwa ya kutegemewa Mkasa umeanza kuhusu usajiri wa Aliyekuwa mshambuliaji wa simba sport klabu ambapo alikuwa akihudumu kwa mkopo akitokea Azam fc Mrisho Ngasa kuhusu uhalali wa kandarasi yake mwenyekiti wa kamati ya usajiri wa timu hiyo ya simba  zakaria hans pope amesema kuwa klabu ya yanga inajisumbua kumsainisha mchezaji huyo na kufikili wamempata mchezoaji huyo na kuwaelezea wasahau kumpata mchezaji .

ameyasema hayo kwa  njia ya simu ,pope amesema kuwa Ngasa bado ana kandarasi ya mwaka mmoja zaidi wa kuitumiakia klabu ya simba ambao aliusaini yeye mwenyewe aidha amesema sehemu pekee ya kujua uhalali wa kandarasi ya mcheo huyo ni katika shirkisho la soka la tanzania tff ambapko ndiko kandarasi hiyo ilipo pelekwa kwa ajili ya kumbukumbu zaidi amesema kwa sasa yanga wanajisumbua na wamemdangaya Ngassa katika swala kuhamia klabu hiyo .

Amesema klabu yao kwa sasa itakaa kimya mpaka TFF itakapo toa jibu sahihi la mchezji huyo ni mali ya timu gani .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers