HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

6 May 2013

hiago Silva, Matuidi, Pastore, Verratti na Sirigu :Carlo Ancelotti’ TUELEZE UKWELI


Ancelotti wants to go to Real, but PSG wants to keep him

Tetesi na fununu nyingi barani ulaya zinasema kuwa  Carlo Ancelotti’s bado ajajua mustakbari wake katika siku chache zilizopita kituo cha radio cha monte calro kimenukuu kuwa mtaliano huyo ataendelea kusalia kuifundisha timu ya  Paris Saint-Germain’s mkurugenzi wa ufundi wa timu hiyo , Leonardo de Araujo na Rais wa timu hiyo , Nasser Al-Khelaifi  kuwa ataendelea kuifundisha timu hiyo kabla ya mehi ya Valenciennes, Kwa mujibu wa radio tajwa hapo juu wachezaji waliuliza kuhusu mustakbali wa mkufunzi moja ya wachezaji hao ni , Thiago Silva, Matuidi, Pastore, Verratti na Sirigu. mkufunzi huyo aliwaambia kuwa atasaini kandarasi ya miaka miwili lakini kandarsi yake sio nzito sana 
Katika hatua  nyingine , wakala  Ernesto Bronzetti amekiambia kituo cha runinga cha 'Sky Sport' kuwa   Carlo Ancelotti anaweza kwenda  Madrid: "Kama  Mourinho atakwenda chelsea , yeye  [Ancelotti] ni moja kati ya wakufunzi ambao wapo kwenye orodha ya kwenda real madrid , Florentino Pérez alijaribu kumsainisha mara mbili , lakini yuko chini mkataba wake na PSG, ambao bado wanamhitaji .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers