HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

30 May 2013

IBRAHIM RAZA AKIMBIA MASWALI KAMATI YA UCHAGUZI ZFA

 
Kamati ya uchaguzi ya zfa imemuondoa mgombe nafasi ya uraia Kwa chama hicho na aliyewahi kuwa makamu wa rais wa chama Ibrahim Raza katika kinyanganyiro cha uchaguzi wa cha chama ch soka cha Zanzibar zfa, kamati hiyo inayoongozwa na Khalfan Othman amesema ni wagombea watatu ndio wamepitishwa kuwania urais ni Rahiar Dalus Abdallah juma na Rajabu Ali Rajabu

Ibrahim Raza ambaye ni mfanya biashara maarufu katika visiwa vya Zanzibar amesema kuwa ataongea kesho na waandishi wa habari kuzungumzia kuhusu kujitoa kwake .
Uchaguzi huo wa zfa unatarajia kufanyika june 8 huku siku ya jumamosi ndiyo itakuwa siku ya kuanza kufanya kampeni katika uchaguzi wa chama hicho cha zanzabar ambacho kimebakisha wagombea wa tatu tu katika kinyanganyiro hicho.

Aidha Othma amesema kuwa kabla hajajitoea wao walishamuondoa siku nyingi sana katika kinyanginyiro baada ya kushindwa kufika katika siku ya usairi ambayo ilikuwa ni leo 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers