HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

23 May 2013

MCHEZAJI WA YANGA AMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR


 Sheha wa Shehia ya Tomondo Wilaya ya Magharibi Mohammed Kidevu, mchezaji wa Zamani wa Timu ya KMKM , Yanga na Timu ya Taifa ya Zanzibar Kidevu usiku wa kuamkilia leo amemwagiwa tingi kali na Watu wasiojulikana akiwa katika maeneo ya kwake huko Tomondo jana usiku, akipatiwa matibabu katika hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja alikolazwa kwa matibabu na uchunguzi zaidi wa kitaalamu katika Hospitali hiyo.  
Sheha wa Shehia ya Tomonda Mohammed Kidevu akiwa katika wodi ya Hospitali kuu ya Rufaa MnazoMmoja akipata matibabu ya majaraha ya kitu kinachosadikiwa kwa Tindi Kali,akipata matibabu hayo katika hospitali hiyo

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers