HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

15 May 2013

Pierre-Emerick Aubameyang ANYAKUWA TUZO YA MARC-VIVIEN FOE

StarAfrica
Kijana mwenye 23 raia wa  Gabon na mchezaji wa  Saint Etienne inayoshiriki (Ligue 1) anayecheza nafasi ya ushambuliaji , Pierre-Emerick Aubameyang amatangazwa kuwa mchezaji wa mwaka wa tuzo ya  Marc-Vivien Foe huko Ufaransa .
Ikianzishwa mwaka  2009,na ikilenga kumbukumbuku ya kuheshimu mchango wa aliyekuwa mchezaji wa kimataifa wa cameruni katika nafasi ya kiungo aliyepata mshituko wakati wa kombe la mabara ililofanyika nchini ufaransa mwaka 2003 katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya  Colombia.
katika hafla hiyo , baada ya kula  68 zilizopigwa na waandishi wa habari wa michezo, Aubameyang alichaguliwa kuwa mchezji wa tuzo hiyo kwa mchezaji kutoka afrika katika  Ligue 1 akipata kura  209 akimzidi raia wa Cameruni Nicolas Nkoulou aliyepata kura (81) na  Jonathan Pitroipa kutoka  Burkina Faso aliyepata kura (35 points). Piere  ambaye ni mchezaji bora wa mwaka 2013 amefunga magoli  19 katika mechi  34 .

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers